Hamia kwenye habari

MEI 31, 2018
KANADA

Mahakama Kuu ya Kanada Yatoa Uamuzi Kutetea Mashahidi wa Yehova

Mahakama Kuu ya Kanada Yatoa Uamuzi Kutetea Mashahidi wa Yehova

Katika uamuzi ulioungwa mkono na mahakimu wote Mei 31, 2018, Mahakama Kuu ya Kanada ilitambua kwamba mpango wa kutenga na ushirika haupaswi kuingiliwa na mahakama. Tunashangilia kwamba viwango vya haki vya Yehova vimetetewa.—Isaya 33:22.

https://scc-csc.lexum.com/scc-csc/scc-csc/en/item/17101/index.do

Soma Zaidi