Hamia kwenye habari

AGOSTI 14, 2020
LEBANONI

Mlipuko Mkubwa Watokea Beirut, Lebanon

Mlipuko Mkubwa Watokea Beirut, Lebanon

Agosti 4, 2020, mlipuko mkubwa umeharibu vibaya bandari kubwa iliyopo Beirut, mji mkuu wa Lebanon. Mlipuko huo umesababisha vifo vya watu wengi, umejeruhi maelfu ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa sana. Nyumba kadhaa za ndugu na dada zetu zimeharibiwa. Kwa kusikitisha, baadhi ya ndugu na dada zetu wamepata majeraha makubwa, lakini hakuna yeyote aliyeuawa katika mlipuko huo.

Tunajua kwamba Mungu wetu mwenye ukarimu ataendelea kuwapa waabudu wake msaada wowote unaohitajika.—2 Samweli 22:3.