MEI 31, 2019
MAREKANI
Miami, Marekani (Kihispania)—Kusanyiko la Kimataifa la 2019 la “Upendo Haushindwi Kamwe”!
Tarehe: Mei 24-26, 2019
Mahali: Marlins Park Miami, Florida, Marekani
Lugha ya Programu: Kihispania
Idadi ya Wahudhuriaji: 28,562
Idadi ya Waliobatizwa: 230
Idadi ya Wajumbe Kutoka Mataifa Mbalimbali: 4,600
Ofisi za Tawi Zilizoalikwa: Amerika ya Kati, Argentina, Bolivia, Brazili, Chile, Ekuado, Filipino, Hispania, Kanada, Kolombia, Kuba, Paraguai, Peru, Uingereza, Ulaya ya Kati
Ndugu na dada wa Miami wakiwakaribisha wajumbe
Watoto Mashahidi wapigwa picha nje ya eneo la kusanyiko
Ndugu Kenneth Cook, mshiriki wa Baraza Linaloongoza, akitoa hotuba ya mwisho Jumamosi
Watu wanne wakibatizwa
Wahudhuriaji wakiimba kwa sauti siku ya Jumamosi
Dada mwenyeji na mjumbe wakiwa katika mahubiri ya hadharani nje ya Kituo cha Kislak kwenye Chuo cha Dade Miami
Watumishi wa wakati wote wasimama kwenye uwanja wa kusanyiko wakati wa hotuba ya kumalizia ya Jumapili
Dada wenyeji wakijiandaa kuwapakulia wajumbe chorizo, empanadas, na paella kwenye tafrija
Akina dada wakicheza dansi ya kitamaduni ya Kihispania wakati wa kuwatumbuiza wajumbe jioni
Wajumbe wafurahia kutumbuizwa kwenye kituo cha kusanyiko katika eneo la West Palm Beach