Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Namibia
JUNI 24, 2015—Mahakama Kuu yaamua kwamba Efigenia Semente alikuwa na haki ya kufanya maamuzi kuhusu mwili wake mwenyewe na kufanya maamuzi ya kitiba
NOVEMBA 3, 2008—Serikali yasajili shirika la kisheria la Mashahidi, Christian Congregation of Jehovah’s Witnesses of Namibia
MACHI 21, 1990—Namibia yapata uhuru
1929—Mashahidi wa Yehova waripoti utendaji wao kwa mara ya kwanza nchini Namibia
OKTOBA 1, 1922—Ushirika wa Mataifa lateua Afrika Kusini, iliyokuwa ikitawaliwa na Uingereza, iwe na mamlaka juu ya Afrika Kusini-Magharibi (jina la awali la Namibia)