Taiwan
Mashahidi wa Yehova Nchini Taiwan
-
Mashahidi wa Yehova—11,460
-
Makutaniko—177
-
Hudhurio la Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka—20,436
-
Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini—1 kwa 2,060
-
Idadi ya Watu—23,375,000
Programu Yenye Mafanikio ya Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Taiwan
Taiwan yatoa utumishi wa badala wa kiraia kama nafasi ya wale wanaokataa kujiunga na utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri.