Hamia kwenye habari

APRILI 2, 2020
TAJIKISTAN

Ndugu Jovidon Bobojonov Amehukumiwa Miaka Miwili Gerezani Nchini Tajikistan

Ndugu Jovidon Bobojonov Amehukumiwa Miaka Miwili Gerezani Nchini Tajikistan

Aprili 2, 2020, mahakama ya jeshi la Tajikistan iliyo kwenye mji mkuu wa Dushanbe, ilimhukumu Ndugu Jovidon Bobojonov miaka miwili gerezani kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Atakata rufaa uamuzi huo.