Hamia kwenye habari

UKRAINIA

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Ukrainia

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Ukrainia
  1. JUNI 23, 2015—Mahakama Kuu ya Pekee ya Ukrainia yalinda haki za wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri watu wanapoandikishwa kwenda vitani

    SOMA ZAIDI

  2. SEPTEMBA 26, 2012—Mahakama Kuu yakomesha jitihada zisizo za kisheria za kuchukua majengo ya ofisi ya tawi kwa nguvu

  3. SEPTEMBA 1998—Mashahidi wajenga ofisi mpya ya tawi jijini Lviv

  4. FEBRUARI 28, 1991—Mashahidi wa Yehova waandikishwa kisheria

  5. SEPTEMBA 30, 1965—Agizo la Sovieti laamuru Mashahidi wote waachiliwe huru kutoka uhamishoni, Siberia

  6. APRILI 8, 1951—Serikali yawatoa Mashahidi 6,100 magharibi mwa Ukrainia na kuwapeleka uhamishoni Siberia

  7. AGOSTI 1949—Serikali ya Sovieti yakataa ombi la kuwasajili Mashahidi kisheria

  8. 1939—Serikali iliyovamia yawatesa Mashahidi, inawafunga gerezani, na kuwapiga marufuku Ukrainia Magharibi

  9. 1926—Ofisi ya kwanza ya Mashahidi yafunguliwa Lviv

  10. 1911—Hotuba zinazotegemea Biblia zatolewa na Mashahidi wa Yehova jijini Lviv