Hamia kwenye habari

Ndugu Igor Shmidt

OKTOBA 25, 2021
HABARI ZA ULIMWENGUNI POTE

Mahakama Nchini Crimea Yamhukumu Ndugu Igor Shmidt

Mahakama Nchini Crimea Yamhukumu Ndugu Igor Shmidt

Mfuatano wa Matukio

  1. Oktoba 22, 2021, Gagarinskiy District Court of the city of Sevastopol, Crimea Republic Mahakama ya Wilaya ya Gagarinskiy ya mji wa Sevastopol katika Jamhuri ya Crimea, ilimhukumu Ndugu Igor Shmidt na kumpa kifungo cha miaka sita gerezani. Alipelekwa gerezani mara moja.

  2. Aprili 22, 2021

    Mahakama ilisikiliza kesi ya uhalifu kwa mara ya kwanza

  3. Machi 23, 2021

    Igor alitolewa mahabusu na kuwekwa katika kifungo cha nyumbani

  4. Oktoba 1, 2020

    Igor alishtakiwa kwa kupanga utendaji wa shirika la kidini lililopigwa marufuku na alizuiliwa kwa siku mbili na baadaye akawekwa mahabusu

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kuwabariki ndugu na dada zetu nchini Urusi na ‘kuwazunguka kwa kibali.’—Zaburi 5:12.