Hamia kwenye habari

Urusi

 

2020-09-21

URUSI

Mahojiano na Ndugu Andrey Stupnikov

Ndugu Andrey Stupnikov anaeleza jinsi alivyokamatwa na kufungwa Julai 3, 2018. Aliwekwa mahubusu kwa siku 241 kisha akawekwa katika kifungo cha nyumbani kwa siku 124. Kesi yake ya uhalifu ilianza Juni 11, 2020.