Hamia kwenye habari

Urusi

 

2019-09-30

URUSI

Hukumu ya Dennis Christensen Kukatiwa Rufaa Kwenye Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu

Mnamo Mei 23, 2019, Mahakama ya Mkoa wa Oryol iliunga mkono uamuzi wa kumfunga Dennis Christensen. Ombi la kupinga kifungo cha uhalifu cha Ndugu Christensen litatumwa kwenye Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu.

2019-05-28

URUSI

Kesi ya Rufaa ya Christensen Yakaribia Kuisha

Mahakama ya Mkoa wa Oryol inaweza kutoa uamuzi mwisho wa juma hili.

2019-05-22

URUSI

Kukamatwa na Kufungwa kwa Dennis Christensen​—Muhtasari

Video hii ya dakika 11 inaonyesha mambo yaliyotokea tangu Dennis Christensen alipokamatwa mnamo Mei 2017.