Hamia kwenye habari

Urusi

 

2017-06-18

URUSI

Mashahidi wa Yehova Wamekata Rufaa Dhidi ya Uamuzi Usio wa Haki wa Mahakama Kuu ya Urusi

Rufaa inaomba uamuzi wa awali ubatilishwe. Imekazia kwamba hukumu hiyo haikuzingatia uthibitisho halisi na kwamba Mashahidi wa Yehova hawana hatia ya kufanya utendaji wowote unaochochea msimamo mkali.

2017-06-23

URUSI

Shahidi wa Yehova Kutoka Denmark Akamatwa na Kufungwa Gerezani Nchini Urusi Baada ya Polisi Kuvamia Mkutano wa Kikristo

Mashahidi wa Yehova nchini Urusi wameshambuliwa kwa sababu ya dini na wenye mamlaka nchini Urusi na wavamizi.

2017-05-08

URUSI

Mahakama Kuu Imeamua Utendaji wa Mashahidi wa Yehova Ni Kosa la Jinai Nchini Urusi

Mahakama Kuu iliunga mkono madai ya kupigwa marufuku kwa Kituo cha Usimamizi pamoja na Mashirika 395 ya Kidini yaliyopo nchini humo.

2017-04-21

URUSI

Mahakama Kuu ya Urusi Yatoa Uamuzi Dhidi ya Mashahidi wa Yehova

Mashahidi watakata rufaa kwa sababu ya uamuzi wa kufunga Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova nchini Urusi.

2017-04-21

URUSI

Siku ya Tano ya Kesi Katika Mahakama Kuu ya Urusi: Mashtaka ya Miaka Kumi Dhidi ya Mashahidi Yakaguliwa

Mawakili wa Wizara ya Haki ya Urusi walishindwa kuonyesha msingi hususa wa kisheria wa kutaka Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova nchini Urusi.

2017-04-21

URUSI

Ushahidi wa Ziada Watolewa Siku ya Nne ya Kusikilizwa kwa Kesi Katika Mahakama Kuu ya Urusi

Mawakili wa Wizara ya Haki walishindwa kuonyesha msingi hususa wa kisheria wa kutaka kufunga Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova.

2017-04-18

URUSI

Siku ya Tatu ya Kesi Katika Mahakama Kuu ya Urusi, Mashahidi wa Yehova Watoa Ushahidi

Mashahidi wanne wa Yehova walitoa ushahidi dhidi ya madai yanayotolewa na Wizara ya Haki.

2017-04-10

URUSI

Mahakama Kuu ya Urusi Yaanza Kesi Kubwa Dhidi ya Mashahidi wa Yehova

Kesi itaendelea Alhamisi, Aprili 6, 2017.