Hamia kwenye habari

Urusi

 

2016-03-03

URUSI

Wenye Mamlaka Nchini Urusi Wapandikiza Ushahidi wa Uwongo Kuwashtaki Mashahidi

Mashahidi wa Yehova katika majiji ya Sevastopol na Balakovo wamefichua mpango wa wenye mamlaka wa kupandikiza machapisho yaliyopigwa marufuku kwenye sehemu zao za ibada na baadaye kuyatumia ili kuwashtaki kuwa wenye msimamo mkali.

2016-04-16

URUSI

Maofisa Nchini Urusi Wakamata Mzigo wa Biblia na Machapisho ya Biblia

Wenye mamlaka wamezuia Biblia na machapisho ya Mashahidi wa Yehova yasiingizwe nchini humo. Kitendo hicho kimewaathirije Mashahidi wa Yehova na raia wengine wa Urusi?

2016-04-16

URUSI

Mahakama ya Taganrog Yawaadhibu Mashahidi kwa Utendaji wa Kidini

Washtakiwa 16 walihukumiwa kwa kuendesha shughuli zenye msimamo mkali. Uamuzi huo umeweka msingi hatari kwa wenye mamlaka kushtaki shughuli za kidini za Mashahidi wa Yehova nchini Urusi licha ya kwamba hazivurugi amani.

2016-01-14

URUSI

Mahakama ya Jiji la Taganrog Yawahukumu Mashahidi wa Yehova kwa Utendaji wa Kidini

Uamuzi huo utasababisha unyanyasaji na mashtaka ya kosa la jinai kwa Mashahidi yaongezeke kotekote nchini Urusi.

2016-04-16

URUSI

Maelezo kuhusu Kesi ya Uhalifu ya Mashahidi wa Yehova Taganrog, Urusi

Tangu 2011, Mashahidi wa Yehova 16 wameshtakiwa isivyo haki kuwa ni wahalifu kwa sababu ya imani yao. Je, ushahidi unaunga mkono mashtaka ya kuwa watu wenye msimamo mkali?

2015-11-05

URUSI

Wataalamu Wapinga Uamuzi wa Urusi wa Kupiga Marufuku JW.ORG

Julai 21, 2015, Shirikisho la Urusi lawa nchi pekee duniani iliyopiga marufuku jw.org, tovuti rasmi ya Mashahidi wa Yehova.

2016-01-14

URUSI

Kusikilizwa Upya kwa Kesi ya Mashahidi wa Yehova Jijini Taganrog​—Ukosefu wa Haki Utakwisha Lini?

Je, Mashahidi 16 wa Urusi watafungwa kwa sababu ya imani yao?

2015-11-05

URUSI

Uamuzi wa Kesi Iliyosikilizwa Upya ya Mashahidi wa Yehova 16 huko Taganrog, Waahirishwa

Kesi hiyo iliyoendeshwa kwa muda mrefu imewaathirije washtakiwa? Je, Urusi itaacha kutumia vibaya sheria ya msimamo mkali na kutetea haki ya uhuru wa ibada?

2015-09-04

URUSI

Mahakama Kuu ya Urusi Yasikiliza Kesi ya Kuzuiwa kwa Shirika la Dini Jijini Abinsk

Je, Mahakama Nchini Urusi itatetea uhuru wa ibada wa Mashahidi na kuondoa vizuizi katika Shirika lao la dini jijini Abinsk, Urusi?

2015-07-29

URUSI

Urusi Yapiga Marufuku JW.ORG, Tovuti Rasmi ya Mashahidi wa Yehova

Wenye mamlaka wametangaza kuwa ni kosa la jinai kutembelea au kuhamasisha jw.org nchini Urusi kwa kuwa ni kufanya shughuli zenye msimamo mkali wa kidini. Marufuku hiyo imezuia watu wasipate Biblia na machapisho yanayotegemea Biblia.

2015-04-23

URUSI

Shahidi Kutoka Urusi Arejesha Zaidi ya Dola 6,800 kwa Aliyezipoteza

Svetlana Nemchinova, Shahidi wa Yehova, alifanya jitihada kubwa ili kumpata aliyepoteza pesa nyingi ambazo zilikuwa zimetupwa kimakosa pamoja na takataka.

2015-02-23

URUSI

Mahakama Kuu ya Urusi Yapiga Marufuku Shirika la Kisheria la Mashahidi Jijini Samara​—Tutarajie Nini?

Uamuzi wa Mahakama kuu unahatarisha uhuru wa kidini wa Mashahidi wa Yehova 180,000 nchini Urusi. Wenye mamlaka wanaweza kutumia uamuzi huo kama msingi wa mateso ya kidini dhidi ya Mashahidi.