Hamia kwenye habari

Urusi

 

2014-07-16

URUSI

Mashahidi wa Yehova Washtakiwa Jijini Taganrog

Uhuru wa kidini umo hatarini nchini Urusi. Wasikilize wachache kati ya wale Mashahidi 16 walioshtakiwa wanapohojiwa pamoja na mawakili wao.

2014-08-07

URUSI

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Yatetea Uhuru wa Mashahidi wa Yehova wa Kukutana kwa Ajili ya Ibada Nchini Urusi

Kesi ya uhuru wa kidini: Kwa mara nyingine, ECHR imeipata Urusi na hatia ya kukiuka haki za kibinadamu za Mashahidi wa Yehova. Je, Urusi itaheshimu uhuru wao wa kuabudu.

2014-07-16

URUSI

Mashahidi wa Yehova Waendelea Kushtakiwa Jijini Taganrog, Urusi

Raia kumi na sita wameshtakiwa kuwa ‘wahalifu’ kwa sababu ya kutenda kupatana na imani yao ya kidini. Wakishtakiwa, uhuru wa kidini wa raia wote nchini Urusi utakuwa hatarini.

2014-04-25

URUSI

Uhuru wa Ibada Wakandamizwa Nchini Urusi

Kesi imefunguliwa dhidi ya Mashahidi wa Yehova kule Taganrog, Urusi. Jumba lao la Ufalme limechukuliwa pamoja na machapisho yao.

2014-04-25

URUSI

Raia wa Urusi Washtakiwa kwa Sababu ya Imani Yao

Kuhukumiwa kwa Mashahidi wa Yehova wanaokabili mashtaka ya uhalifu huko Taganrog kutahatarisha haki za msingi za raia wote wa Urusi.

2014-04-09

URUSI

Mahakama ya Rufani ya Urusi Yakataa Kupiga Marufuku JW.ORG

Mahakama ya Mkoa wa Tver nchini Urusi ilibatilisha uamuzi uliokuwa umetolewa na Mahakama ya Wilaya, uamuzi wa kupiga marufuku jw.org—tovuti rasmi ya Mashahidi wa Yehova.

2014-03-25

URUSI

Habari Zaidi: Jaribio la Kupiga Marufuku JW.ORG Lagonga Mwamba

Mahakama ya rufaa yabatilisha uamuzi wa kupiga marufuku tovuti ya jw.org kotekote nchini Urusi.

2014-02-14

URUSI

Maofisa wa Urusi Wanataka Kupiga Marufuku JW.ORG

Mahakama ya Wilaya ya Tsentralniy katika jiji la Tver iliamua kupiga marufuku tovuti ya jw.org katika Shirikisho lote la Urusi. Mashahidi wa Yehova wamekata rufani.

2013-10-01

URUSI

Mahakama ya Ulaya Yalinda Haki ya Faragha Katika Kesi Inayohusu Mashahidi wa Yehova

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu (ECHR) iliagiza nchi ya Urusi kulipia hasara kwa kukiuka haki za kimsingi za faragha katika kesi inayohusu Mashahidi wa Yehova.

2014-01-24

URUSI

Uamuzi wa Mahakama, “Hatuishi Katika Mwaka wa 1937”

Jaji wa mahakama ya wilaya alifutilia mbali uamuzi wa mahakama ya chini.