Hamia kwenye habari

Dada Yulia Globa

JULAI 31, 2024
URUSI

Dada Yuliya Globa Amehukumiwa Kifungo cha Nje

Dada Yuliya Globa Amehukumiwa Kifungo cha Nje

Juni 25, 2024 Mahakama ya Wilaya ya Unechenskiy katika Eneo la Bryansk ilimhukumu Dada Yulia Globa. Alihukumiwa kifungo cha nje cha miaka miwili na miezi sita. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunafurahi kujua kwamba sisi pia tunaweza ‘kumwaga mioyo yetu mbele za Yehova,’ tukiwa na uhakika kwamba Yeye atakuwa kimbilio letu.​—Zaburi 62:7, 8.

Mfuatano wa Matukio

  1. Mei 31, 2023

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa.

  2. Juni 22, 2023

    Nyumba ya Yulia na Ernst yafanyiwa msako, kisha wanahojiwa

  3. Septemba 28, 2023

    Anawekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Januari 31, 2024

    Kesi ya uhalifu yaanza kusikilizwa

  5. Juni 25, 2024

    Ahukumiwa kifungo cha nje cha miaka miwili na miezi sita