JUNI 20, 2023 | HABARI ZILIONGEZWA: AGOSTI 23, 2023
URUSI
HABARI ZA KARIBUNI—DADA AHUKUMIWA | “Ninaweza Kubaki Mwaminifu na Mshikamanifu”
Agosti 22, 2023, Mahakama ya Wilaya ya Oktyabrskiy iliyo Novosibirsk ilimhukumu Dada Tatyana Oleynik kifungo cha nje cha miaka minne. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.
Maelezo Mafupi Kumhusu
Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kumbariki Tatyana na wote ambao wako “tayari kutii” katika mambo yote.—Yakobo 3:17.
Mfuatano wa Matukio
Aprili 19, 2019
Nyumba yafanyiwa msako
Novemba 18, 2021
Kesi ya uhalifu yafunguliwa
Januari 26, 2023
Kesi ya uhalifu yaanza