Hamia kwenye habari

Dada Tatyana Obizhestvit

MEI 6, 2022 | HABARI ZILIONGEZWA: FEBRUARI 21, 2023
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—DADA AHUKUMIWA | Tatyana Obizhestvit Anamtumaini Yehova

HABARI ZA KARIBUNI—DADA AHUKUMIWA | Tatyana Obizhestvit Anamtumaini Yehova

Februari 20, 2023, Mahakama ya Wilaya ya Vakhitovskiy iliyo Kazan katika Jamhuri ya Tatarstan ilimhukumu Dada Tatyana Obizhestvit kifungo cha nje cha miaka miwili. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Mfuatano wa Matukio

  1. Januari 19, 2020

    Wenye mamlaka walipekua nyumba ya Tatyana na nyumba nyingine kadhaa za Mashahidi wa Yehova huko Kazan. Tatyana alihojiwa kisha akapelekwa mahabusu

  2. Januari 21, 2020

    Aliachiliwa na kuwekwa katika kifungo cha nyumbani

  3. Mei 25, 2021

    Kesi ya uhalifu ilianza

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunathamini sana mfano wa Tatyana wa kumtumaini Yehova na kuepuka kutegemea uelewaji wake mwenyewe huku akiendelea kuvumilia kwa uaminifu.​—Methali 3:5.