Hamia kwenye habari

Ndugu Sergey Ananin

MEI 16, 2022 | HABARI ZILIONGEZWA: APRILI 3, 2023
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—HUKUMU YA GEREZANI | Sergey Ananin Anaimarisha Tumaini Lake Katika Mungu

HABARI ZA KARIBUNI—HUKUMU YA GEREZANI | Sergey Ananin Anaimarisha Tumaini Lake Katika Mungu

Mahakama ya Jiji la Belovo iliyo katika Eneo la Kemerovo ilimhukumu Ndugu Sergey Ananin kifungo cha miaka sita gerezani. Alipelekwa gerezani moja kwa moja kutoka mahakamani.

Mfuatano wa Matukio

  1. Februari 9, 2021

    Mashtaka ya uhalifu yalifunguliwa dhidi yake. Alishtakiwa kwamba anaunga mkono utendaji wa shirika lenye msimamo mkali

  2. Februari 14, 2021

    Alikamatwa na kuwekwa kizuizini

  3. Februari 16, 2021

    Aliwekwa kwenye kifungo cha nyumbani

  4. Januari 25, 2022

    Kesi ya uhalifu ilianza

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tuna uhakika kwamba Yehova Mungu ataendelea kuwaonyesha upendo mwingi, kuwategemeza, na kuwabariki ndugu na dada zetu nchini Urusi na watumishi wake wote waaminifu walio duniani.​—Malaki 3:10.