Hamia kwenye habari

Ndugu Aleksandr Shutov

SEPTEMBA 12, 2022 | HABARI ZIMEONGEZWA: JUNI 13, 2023
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | Aleksandr Shutov Anaendelea Kumtegemea Yehova na Kumwomba Mwongozo

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | Aleksandr Shutov Anaendelea Kumtegemea Yehova na Kumwomba Mwongozo

Juni 9, 2023, Mahakama ya Wilaya ya Lazo iliyo katika Eneo la Khabarovsk ilimhukumu Ndugu Aleksandr Shutov kifungo cha nje cha miaka miwili na miezi mitano. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Mfuatano wa Matukio

  1. Julai 26, 2021

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  2. Julai 30, 2021

    Nyumba ya Aleksandr ilifanyiwa msako. Aleksandr alikamatwa, akahojiwa, kisha akaachiliwa lakini akawekewa vizuizi vya kusafiri.

  3. Agosti 3, 2021

    Aliongezwa kwenye orodha ya watu wenye msimamo mkali nchini Urusi

  4. Aprili 28, 2022

    Kesi ya uhalifu ilianza

Maelezo Mafupi Kumhusu

Kadiri mateso yanavyoongezeka, acheni tuimarishe imani yetu sasa na tuazimie kuutumaini “upendo mshikamanifu wa Mungu milele na milele.”​—Zaburi 52:8.