Hamia kwenye habari

Ndugu Valeriy Rabota

MACHI 29, 2024 | HABARI ZIMEONGEZWA: JULAI 10, 2024
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Moyo Wangu Hauna Wasiwasi Wala Woga”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Moyo Wangu Hauna Wasiwasi Wala Woga”

Julai 10, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Khabarovsk iliyo katika Eneo la Khabarovsk ilimhukumu Ndugu Valeriy Rabota kifungo cha nje cha miaka sita. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunathamini sana kielelezo cha imani ambacho Valeriy ametuwekea, na tunajua kwamba Yehova atamlinda yeye na wote wanaoendelea kujithibitisha wenyewe kuwa washikamanifu.​—Zaburi 37:28.

Mfuatano wa Matukio

  1. Machi 1, 2022

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  2. Machi 3, 2022

    Nyumba ilifanyiwa msako. Alihojiwa na akawekwa kizuizini

  3. Machi 5, 2022

    Alisafirishwa na kupelekwa mahabusu

  4. Juni 29, 2022

    Aliachiliwa kutoka mahabusu na akawekwa katika kifungo cha nyumbani

  5. Oktoba 7, 2022

    Aliachiliwa kutoka katika kifungo cha nyumbani na akawekewa vizuizi vya kusafiri

  6. Mei 11, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianza