Hamia kwenye habari

Ndugu Vladimir Baykalov na mke wake, Irina

APRILI 25, 2023 | HABARI ZIMEONGEZWA: OKTOBA 23, 2023
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AMEHUKUMIWA | “Shangwe Ni Kama Mota Inayonisukuma Mbele”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AMEHUKUMIWA | “Shangwe Ni Kama Mota Inayonisukuma Mbele”

Oktoba 23, 2023, Mahakama ya Wilaya ya Zavodskiy iliyo Kemerovo ilimhukumu Ndugu Vladimir Baykalov kifungo cha nje cha miaka sita. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kuwaimarisha watumishi wake wote waaminifu wavumilie majaribu yao kwa shangwe.​—Yakobo 1:2, 3.

Mfuatano wa Matukio

  1. Februari 2, 2022

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa

  2. Februari 3, 2022

    Nyumba yake ilifanyiwa msako

  3. Oktoba 26, 2022

    Alishtakiwa na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Novemba 30, 2022

    Kesi ya uhalifu yaanza