Hamia kwenye habari

Ndugu Valeriy Schitz na mke wake, Irina

AGOSTI 23, 2023 | HABARI ZIMEONGEZWA: JUNI 25, 2024
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU ATOZWA FAINI | “Ninazidi Tu Kuwa Imara”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU ATOZWA FAINI | “Ninazidi Tu Kuwa Imara”

Juni 24, 2024, Mahakama ya Jiji la Lesosibirsk iliyo katika Eneo la Krasnoyarsk ilimhukumu Ndugu Valeriy Schitz. Ndugu Valeriy alitozwa faini ya rubo 600,000 (dola 6,894 za Marekani).

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunapata faraja kwa sababu tunajua kwamba katika jaribu lolote ambalo tutapata, Yehova na pia ndugu na dada zetu watatutegemeza.​—1 Petro 5:9, 10.

Mfuatano wa Matukio

  1. Novemba 19, 2021

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa

  2. Novemba 25, 2021

    Msako unafanywa nyumbani kwake na anapelekwa kituoni kuhojiwa

  3. Novemba 26, 2021

    Anazuiwa kufanya mambo fulani

  4. Mei 18, 2022

    Anawekewa vizuizi vya kusafiri

  5. Aprili 10, 2023

    Kesi ya uhalifu yaanza