AGOSTI 20, 2021
URUSI
Kifungo Kisicho cha Haki cha Dada Valentina Baranovskaya na Mwana Wake, Roman
Jifunze jinsi wenye mamlaka nchini Urusi wanavyomtesa mwanamke mwenye umri wa miaka 70 na mwana wake kwa sababu ya imani yao, kama ilivyoelezwa katika mahojiano yaliyofanywa na wakili wao na marafiki zao.