Hamia kwenye habari

JANUARI 7, 2020
URUSI

Kuwekwa Mahabusu kwa Ndugu Kuzin na Ndugu Makhnev

Kuwekwa Mahabusu kwa Ndugu Kuzin na Ndugu Makhnev

Dada zetu wanne wanasimulia jinsi Ndugu Kuzin na Ndugu Makhev walivyokamatwa na kuwekwa mahabusu baada ya polisi waliofunika nyuso kuvamia nyumba zao huko Kaluga, Urusi. Wakili wa ndugu zetu anatoa maoni yake pia.