Hamia kwenye habari

JANUARI 14, 2021
URUSI

Mahakama Nchini Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Anatoliy Tokarev

Mahakama Nchini Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Anatoliy Tokarev

Januari 14, 2021, Mahakama katika Eneo la Kirov imekataa rufaa ya Ndugu Anatoliy Tokarev. Hukumu ya awali aliyopewa ya kulipa faini ya rubo 500,000 (Dola za Marekani 6,834), sasa itatekelezwa.