Hamia kwenye habari

APRILI 20, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yabadili Hukumu ya Dada Larisa Artamonova

Mahakama ya Urusi Yabadili Hukumu ya Dada Larisa Artamonova

Aprili 20, 2021, mahakama ya Eneo Lililotengewa Wayahudi ilibadili hukumu ya Dada Larisa Artamonova kutoka kuwa faini ya rubo 10,000 (dola 135 za Marekani) kuwa kifungo cha nje cha miaka miwili na nusu. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.