Hamia kwenye habari

APRILI 5, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yakataa Ombi la Rufaa la Ndugu Yuriy Savelyev

Mahakama ya Urusi Yakataa Ombi la Rufaa la Ndugu Yuriy Savelyev

Aprili 5, 2021, Mahakama ya Eneo la Novosibirsk ilikataa ombi la Ndugu Yuriy Savelyev na kuunga mkono hukumu ya kifungo cha miaka sita gerezani iliyotolewa dhidi yake.