Hamia kwenye habari

JUNI 16, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yakataa Ombi la Rufaa ya Ndugu Brother Sergey Verkhoturov

Mahakama ya Urusi Yakataa Ombi la Rufaa ya Ndugu Brother Sergey Verkhoturov

Juni 16, 2021, Mahakama ya Eneo ya Nizhny Novgorod ilikataa ombi la rufaa la Ndugu Sergey Verkhoturov. Hukumu yake ya awali ya kifungo cha nje cha miaka sita bado itaendelea kutumika. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.