Hamia kwenye habari

MACHI 11, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Dada Anastasiya Sycheva

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Dada Anastasiya Sycheva

Machi 11, 2021, Mahakama ya Eneo Lililotengewa Wayahudi ili kataa rufaa ya Dada Anastasiya Sycheva. Kifungo chake cha nje cha miaka miwili alichopewa awali sasa kitaanza kutumika. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.