Hamia kwenye habari

MACHI 29, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Semyon Baybak

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Semyon Baybak

Machi 29, 2021, Mahakama ya Eneo la Rostov iliunga mkono uamuzi wa kwamba Ndugu Semyon Baybak apewe kifungo cha nje cha miaka mitatu na nusu. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.