Hamia kwenye habari

MACHI 16, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Yevgeniy Golik

Mahakama ya Urusi Yakataa Rufaa ya Ndugu Yevgeniy Golik

Machi 16, 2021, mahakama katika Eneo Lililotengewa Wayahudi iliunga mkono hukumu iliyotolewa dhidi ya Ndugu Yevgeniy Golik. Kifungo chake cha nje cha miaka miwili na nusu kitaanza kutumika. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.