Hamia kwenye habari

APRILI 1, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Dada Tatyana Zagulina Kifungo cha Nje

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Dada Tatyana Zagulina Kifungo cha Nje

Machi 31, 2021, Mahakama ya Wilaya ya Birobidzhan iliyo katika Eneo Lililotengewa Wayahudi ilimhukumu Dada Tatyana Zagulina kifungo cha nje cha miaka miwili na miezi sita. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.