Hamia kwenye habari

DESEMBA 13, 2019
URUSI

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Ndugu Alushkin Miaka Sita Gerezani

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Ndugu Alushkin Miaka Sita Gerezani

Desemba 13, 2019, Ndugu Vladimir Alushkin alihukumiwa miaka sita gerezani. Alifungwa pingu papo hapo na kuwekwa chini ya ulinzi. Ndugu Alushkin atakata rufaa kuhusu uamuzi huo.