Hamia kwenye habari

MACHI 8, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Ndugu Sergey Verkhoturov Kifungo cha Nje cha Miaka Sita

Mahakama ya Urusi Yamhukumu Ndugu Sergey Verkhoturov Kifungo cha Nje cha Miaka Sita

Machi 5, 2021, Mahakama ya Wilaya ya Priokskiy katika eneo la Nizhny Novgorod ilimhukumu Ndugu Sergey Verkhoturov kifungo cha nje cha miaka sita. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu. Sergey atakata rufaa uamuzi huo.