Hamia kwenye habari

FEBRUARI 16, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yamtoza Faini Dada Yuliya Kaganovich

Mahakama ya Urusi Yamtoza Faini Dada Yuliya Kaganovich

Februari 16, 2021, Mahakama ya Wilaya ya Birobidzhan iliyo katika Eneo Lililotengewa Wayahudi iliamua kwamba Dada Yuliya Kaganovich ana hatia ya “kushiriki katika utendaji wa shirika lenye msimamo mkali.” Alitozwa faini ya rubo 10,000 (dola 135 za Marekani).