Hamia kwenye habari

JULAI 16, 2021
URUSI

Mahakama ya Urusi Yaunga Mkono Kifungo cha Nje cha Ndugu Mmoja na Dada Wawili

Mahakama ya Urusi Yaunga Mkono Kifungo cha Nje cha Ndugu Mmoja na Dada Wawili

Baada ya kuchunguza upya kesi ya Ndugu Aleksandr Prianikov na ya Dada Venera Dulova na Darya Dulova, Mahakama ya Jiji la Karpinsk ilifikia uamuzi Julai 15, 2021 kwamba vifungo vyao vya nje vidumishwe. Watakata rufaa uamuzi huo. Hawahitaji kwenda gerezani wakati huu.