Hamia kwenye habari

Ndugu Aleksey Miretskiy akiwa na mke wake, Yuliya, muda mfupi baada ya kuachiliwa. Alifungwa kwa karibu miaka miwili

AGOSTI 4, 2021
URUSI

Ndugu Aleksey Miretskiy Ameachiliwa Kutoka Gerezani Urusi

Ndugu Aleksey Miretskiy Ameachiliwa Kutoka Gerezani Urusi

Agosti 3, 2021, Ndugu Aleksey Miretskiy aliachiliwa kutoka gerezani baada ya kukamilisha kifungo chake. Ndugu Miretskiy ndiye ndugu wa mwisho kati ya ndugu watano kutoka Saratov ambao walipigwa baada ya kufika gerezani huko Orenburg.