Hamia kwenye habari

Kutoka kushoto hadi kulia:Ndugu Vadim Levchuk na Ndugu Sergey Britvin baada ya kuachiliwa kutoka gerezan

DESEMBA 30, 2021
URUSI

Ndugu Sergey Britvin na Ndugu Vadim Levchuk Waachiliwa Kutoka Gerezani

Ndugu Sergey Britvin na Ndugu Vadim Levchuk Waachiliwa Kutoka Gerezani

Desemba 30, 2021, Ndugu Sergey Britvin na Ndugu Vadim Levchuk waliachiliwa kutoka gerezani. Sergey na Vadim walipoachiliwa huru, watu wa ukoo na marafiki waliwasalimu kwa uchangamfu. Kwa ujumla kila mmoja wao alikaa mahabusu kwa miaka mitatu na miezi mitano.