MACHI 15, 2021
URUSI
Ndugu Vladimir Filippov Amehukumiwa Miaka Sita Kifungo cha Nje
Machi 15, 2021, Mahakama ya Wilaya ya Nadezhdinskiy katika Eneo la Primorye ilimhukumu Ndugu Vladimir Filippov mwenye umri wa miaka 77 kifungo cha nje cha miaka sita. Vladimir hatahitaji kwenda mahakamani wakati huu.