Hamia kwenye habari

MEI 14, 2021
URUSI

Ndugu Vladimir Filippov Ameshindwa Kesi Yake ya Rufaa

Ndugu Vladimir Filippov Ameshindwa Kesi Yake ya Rufaa

Mei 14, 2021, Mahakama ya Eneo la Primorye imekataa rufaa ya Ndugu Vladimir Filippov. Sasa kifungo chake cha nje cha awali cha miaka sita kitaanza kutumika. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.