JULAI 28, 2020
URUSI
Ndugu Yevgeniy Amepigwa Faini ya Zaidi ya Dola 6,900 na Mahakama ya Urusi
Julai 28, 2020, Mahakama ya Jiji la Furmanovsky katika Eneo la Ivanovo ilimhukumu Ndugu Yevgeniy Spirin. Mwendesha-mashtaka aliomba afungwe gerezani kwa miaka saba. Badala yake, mahakama ilimpiga faini ya rubo 500,000 (dola 6,920 za Marekani). Ndugu Spirin atakata rufaa hukumu hiyo.