Hamia kwenye habari

Ndugu Igor Kasabov

JUNI 10, 2024
URUSI

NduguIgor Kasabov Amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Miaka Miwili

NduguIgor Kasabov Amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Miaka Miwili

Mei 14, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Oktyabrskiy iliyo Tambov ilimhukumu Ndugu Igor Kasabov. Alihukumiwa kifungo cha nje cha miaka mwili. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kuwabariki Igor na Irina kadiri wanavyoendelea kumtegemea Yeye ili awape nguvu.​—Habakuki 3:19.

Mfuatano wa Matukio

  1. Aprili 11, 2023

    Nyumba ilifanyiwa Msako. Na wakachukua vifaa vyao vya kielektroni

  2. Aprili 12, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianzishwa

  3. Machi 28, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza

  4. Mei 14, 2024

    Hukumu ya kifungo cha nje cha miaka miwili ilitolewa