Hamia kwenye habari

MACHI 23, 2021
URUSI

Rufaa ya Dada Galina Parkova Yakataliwa Nchini Urusi

Rufaa ya Dada Galina Parkova Yakataliwa Nchini Urusi

Machi 22, 2021, Mahakama ya Eneo la Rostov ilikataa ombi la rufaa la Dada Galina Parkova. Sasa kifungo cha nje alichohukumiwa awali cha miaka miwili na miezi mitatu kitaanza kutumika. Hatahitaji kwenda gerezani wakati huu.