Hamia kwenye habari

Dada Irina Zinina

AGOSTI 12, 2024
URUSI

“Sijihisi Mpweke”

“Sijihisi Mpweke”

Mahakama ya Wilaya ya Vyselkovskiy katika Eneo la Krasnodar itatangaza uamuzi wake katika kesi inayomhusu Dada Irina Zinina. Mwendesha-mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunasadiki kwamba Yehova ataendelea kumwimarisha Irina pamoja na sisi sote tunapoendelea kujitahidi kumwiga na ‘kuendelea kupendana.’​—1 Yohana 4:7.

Mfuatano wa Wakati

  1. Februari 13, 2022

    Nyumba ambayo Irina anaishi na mama na baba yake ilifanyiwa msako

  2. Mei 23, 2023

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa. Alishtakiwa kwa kushiriki katika utendaji wa shirika lenye msimamo mkali kwa sababu ya kuzungumza kuhusu imani yake

  3. Julai 22, 2023

    Aliwekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Februari 8, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza kusikilizwa