Hamia kwenye habari

Septemba 3, 2021
URUSI

Urusi Yamkamata Dada Olga Opaleva Mwenye Umri Mkubwa Kinyume cha Sheria

Urusi Yamkamata Dada Olga Opaleva Mwenye Umri Mkubwa Kinyume cha Sheria

Katika mahojiano haya, jifunze jinsi wenye mamlaka nchini Urusi wamemtendea mama mgonjwa na mwenye umri mkubwa kwa njia isiyo ya haki na kwa ukatili.