MEI 22, 2023
URUSI
“Woga Hauepukiki Lakini Ujasiri Ni Uchaguzi”
Machi 24, 2023, Mahakama ya Wilaya ya Zheleznodorozhny iliyoko Krasnoyarsk ilitangaza uamuzi katika kesi inayomhusu Dada Nataliya Voropaeva. Alipigwa faini ya rubo 360,000 (dola 4,730 za Marekani).
Maelezo Mafupi Kumhusu
Kama Nataliya, sisi pia tumeazimia kuwa “hodari na kusema: ‘Yehova ni msaidizi wangu; sitaogopa.’”—Waebrania 13:6.
Mfuatano wa Matukio
Novemba 2017–Novemba 2020
Aliwekwa chini ya ulinzi na nyumba yake ilifanyiwa upekuzi. Alihojiwa kama sehemu ya uchunguzi dhidi ya Ndugu Andrey Stupnikov
Septemba 5, 2022
Kesi ya uhalifu inaanzishwa
Septemba 6, 2022
Anawekewa vizuizi vya kusafiri
Oktoba 20, 2022
Anashtakiwa kwa uhalifu
Februari 27, 2023
Kesi ya uhalifu inaanza
Machi 24, 2023
Anapigwa faini ya rubo 360,000 (dola 4,730 za Marekani)