Hamia kwenye habari

Ndugu Anton Kokovin

NOVEMBA 27, 2023
URUSI

“Yehova Atanisaidia Kushughulikia Hali Ngumu”

“Yehova Atanisaidia Kushughulikia Hali Ngumu”

Mahakama ya Wilaya ya Dzerzhinskiy iliyoko Yaroslavl itatangaza hivi karibuni uamuzi wake katika kesi inayomhusu Ndugu Anton Kokovin. Mwendesha-mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Sisi pia tuna uhakika kwamba Yehova atabariki sana imani na uvumilivu wa wale wote wanaoendelea kuunga mkono enzi yake kuu.​—Waebrania 11:6.

Mfuatano wa Matukio

  1. Mei 18, 2022

    Kesi ya uhalifu yafunguliwa

  2. Mei 19, 2022

    Nyumba ilifanyiwa upekuzi. Akahojiwa

  3. Juni 6, 2022

    Ashtakiwa rasmi kwa kushiriki utendaji wa shirika lenye msimamo mkali na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Mei 29, 2023

    Kesi ya uhalifu yaanza kusikilizwa