Hamia kwenye habari

Dada Yelena Gadrshina

JUNI 3, 2024
URUSI

“Yehova Ndiye Muhimu Maishani Mwangu”

“Yehova Ndiye Muhimu Maishani Mwangu”

Mahakama ya Wilaya ya Vyselkovskiy iliyo katika Eneo la Krasnodar itatangaza uamuzi wake hivi karibuni katika kesi inayomhusu Dada Yelena Gadrshina. Mwendesha mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Kama Yelena, tunafurahi kujua kwamba tunaweza kuwa na uhakika Yehova atatutegemeza na kututetea kwa nguvu zake.​—Zaburi 54:1, 2.

Mfuatano wa Matukio

  1. Februari 13, 2022

    Nyumba ilifanyiwa msako. Vifaa vya kielektroni, kadi za benki, na hati zenye habari za kibinafsi zikachukuliwa

  2. Juni 15, 20231

    Kesi ya uhalifu ilianzishwa

  3. Agosti 10, 2023

    Alihojiwa na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Januari 30, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza