Hamia kwenye habari

Dada Lyudmila Zinina

AGOSTI 8, 2024
URUSI

‘Yehova Ni Kimbilio Langu na Mlinzi Wangu’

‘Yehova Ni Kimbilio Langu na Mlinzi Wangu’

Mahakama ya Wilaya ya Vyselkovskiy katika Eneo la Krasnodar itatangaza hivi karibuni uamuzi wake katika kesi inayomhusu Dada Lyudmila Zinina. Bado mwendesha-mashtaka hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Kama Lyudmila, sisi pia na tusitawishe imani yenye nguvu katika Mungu wetu, Yehova, ambaye hawaachi kamwe wale wanaomtumaini.​—Kumbukumbu la Torati 31:6.

Mfuatano wa Wakati

  1. Februari 13, 2022

    Nyumba ambayo Lyudmila, mume wake, na binti yao Irina wanaishi ilifanyiwa upekuzi

  2. Mei 23, 2023

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa. Alishtakiwa kwa kushiriki katika utendaji wa shirika lenye msimamo mkali na kuzungumza kuhusu imani yake

  3. Juni 9, 2023

    Jina lake liliongezwa kwenye orodha ya watu wenye msimamo mkali nchini Urusi

  4. Julai 11, 2023

    Aliwekewa vizuizi vya kusafiri

  5. Februari 8, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza kusikilizwa