Hamia kwenye habari

MEI 1, 2018
URUSI

Rufaa Dhidi ya Kunyakuliwa kwa Ofisi ya Tawi Nchini Urusi

Rufaa Dhidi ya Kunyakuliwa kwa Ofisi ya Tawi Nchini Urusi

Alhamisi, Mei 3, 2018, saa 5:30 asubuhi Mahakama ya Jiji la Saint Petersburg itasikiliza rufaa yetu dhidi ya hukumu iliyotolewa Desemba 2017 ambayo ingeruhusu wenye mamlaka kunyakua ofisi yetu ya tawi nchini Urusi. Rufaa hiyo ikikataliwa, eneo hilo lenye majengo 14 linaweza kunyakuliwa mara moja na serikali.