Urusi
Siku ya Tatu ya Kesi Katika Mahakama Kuu ya Urusi, Mashahidi wa Yehova Watoa Ushahidi
Mashahidi wanne wa Yehova walitoa ushahidi dhidi ya madai yanayotolewa na Wizara ya Haki.
Mahakama Kuu ya Urusi Yaanza Kesi Kubwa Dhidi ya Mashahidi wa Yehova
Kesi itaendelea Alhamisi, Aprili 6, 2017.
Vasiliy Kalin: Taarifa Kuhusu Tisho la Kuwapiga Marufuku Mashahidi wa Yehova Nchini Urusi
Vasiliy Kalin, akiwakilisha Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova nchini Urusi, anawasihi wenye mamlaka serikalini wakomeshe mateso yasiyo ya haki dhidi ya Mashahidi.
Wataalamu Wazungumzia Tisho la Kuwapiga Marufuku Mashahidi wa Yehova Nchini Urusi
Wataalamu wa haki za kibinadamu wanazungumzia jinsi ambavyo kupigwa marufuku kwa Mashahidi wa Yehova kutaathiri sifa ya kimataifa ya Urusi na uhuru wa kidini wa raia wake wote.
Mashahidi wa Yehova Wapanga Kampeni ya Ulimwenguni Pote Kujibu Tisho la Kupigwa Marufuku Nchini Urusi
Kwa sababu ya tisho la kupigwa marufuku nchini Urusi, Mashahidi wa Yehova wanaitikia kwa kutoa ombi la moja kwa moja la kuomba kusitishwa kwa uonevu kupitia kampeni ya ulimwenguni pote ya kuandika barua. Maagizo yameonyeshwa kwa ajili ya wote wanaotaka kuhusika.
Shambulio la Muda Mrefu Dhidi ya Uhuru wa Ibada Nchini Urusi Laongezeka
Mashahidi wataomba Mahakama ya Jiji la Moscow ibatilishe onyo dhidi ya Kituo chao cha Usimamizi, yaani, makao makuu ya Mashahidi yaliyoko nje ya jiji la St. Petersburg.